Kikim-Mun

Kikim-Mun ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Vietnam, Uchina na Laos inayozungumzwa na Wayao. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kikim-Mun nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 170,000. Pia kuna wasemaji 200,000 nchini Uchina (1995) na 4500 nchini Laos (1995). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikim-Mun iko katika kundi la Kimian-Jin.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search